Wednesday, March 16, 2011

R.I.P NATE DOGG

Habari zinazosikitisha zilizopatikana ni Kwamba mwana muziki maarufu wa USA Nate Dogg amefariki dunia jana March 15th  akiwa na umri wa miaka 41. Nate Dogg anajulika kwa collaboration nyingi alizofanya na rakifi yake Snoop Dogg. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Ameen. Kwa habari kamili bonyeza hapa http://www.hiphopdx.com/index/news/id.14420/title.breaking-nate-dogg-passes-away-at-41-years-old

BREAKING: Nate Dogg Passes Away at 41 Years Old
Nate wakati wa uhai wake... alikuwa sooo fly jamani... R.I.P brother

No comments:

Post a Comment