Tuesday, March 22, 2011

HASHEEM THABEET SENT BACK TO D-LEAGUE!

THABEET_HASHEEM
                    Hasheem Thabeet

Yule mchezaji maarufu kwa kikapu wa National Basketball Association (NBA) ya Marekani kutoka Tanzania Hasheem  Thebeet amepelekwa tena kwenye D- league na Timu yake mpya ya Houston Rockets. D- League ni speacial League ya NBA ili kuwachua na kukuza viwango zaidi  vya wachezaji ambao bado wanaendelea kukuza vipaji vyao.Tumuombee Mtanzania mwenzetu aweze kufanya vizuri na kurudi kwenye NBA league. Keep the Dream alive brother! Kwa habari kamili soma hapa http://probasketballtalk.nbcsports.com/2011/03/21/rockets-send-hasheem-thabeet-to-d-league/

No comments:

Post a Comment