Friday, April 8, 2011

WAZO LA LEO....................

Inahusu nini kwenye harusi zetu za Kitanzania kama colors of the wedding ni Red and Brown  then wangeni wooooote nao wanakuja wamevaa red  tena wanakuwa wamefanana na wazimamizi!!!! Jamani mimi naona hata haipendezi kwa kweli. Haipendeziiiiiii kabisa. This is just my opinion

No comments:

Post a Comment