Sunday, April 3, 2011

IT IS OFFICIAL... THE GREATEST BASHMENT OF ALL IS BACK!!!!!!!!

Jamani, jamani, wenye kuomba vekesheni tafuteni sasa hivi. Wenye kuchanga nauli anza sasa, Wenye kutafuta pa kufikia tafuata sasa. Wenye kutafuta viwalo tafuta sasa. Ile party kubwa ya wantanzania Marekani is official back kwa habari nilizozipata kwa mmoja wa wahusika. Mabibi na Mabwana jitayarisheni for three days and night of having fun and partying. Karibuni Columbus, Ohio.

No comments:

Post a Comment