Saturday, June 11, 2011
Wednesday, June 1, 2011
AWILO LONGOMBA IN CHICAGO JULY 9TH
Pre ticket are available online @ www.theshrinechicago.com
or contact Twitwi @ 224-623-1244 or Aulerian @ 312-804-2488
Pre Ticket are $25.00 and $30.00 at the door.....
Get your ticket Now before they are sold out
or contact Twitwi @ 224-623-1244 or Aulerian @ 312-804-2488
Pre Ticket are $25.00 and $30.00 at the door.....
Get your ticket Now before they are sold out
Sunday, May 29, 2011
JACK MJENGWA BRIDAL SHOWER...
Zilikuwa shamrashamra rasmi za kuanda festivity za Harusi ya Bibie Jacquiline Mjengwa atakayeolewa huko Tanzania mwaka huu. Ndugu, jamaa, marafiki na mashambega walijuumika wote kwa ajili ya sherehe ya Bridal Shower katika jiji la Columbus, Ohio. Sare ilikuwa ni Dira lako jepesi. Mwanamke wa Raha zakoooooo Hongera sana Mama Brianna. Ubarikiwe na kwenye shughuli zote zinazokuja katika kukamilisha ndoa yako....
Bi Harusi Mtarajiwa na Matron wake.
Mama Jordan na Bibi Harusi mtarajiwa
Keki mnaiaonajeeee?
Mashoga hao wa bibi harusi mtarajiwa ....
wageni
waalikwa
Bi Asia ndio alikuwa Host wa Bridal Shower
Mashostisto..
Mama Jordan and Sandra
With Pam Lolo
With my shoga Kibibi
With the future Bridemaid
With Matron, Bibi harusi mtarajiwa na Bi Asia
Na mwenyewe Rehema na Zay Dullah
Nyonga hiyooooo
washangaa nyonga atiii
wageni
mashoga wa bibi harusi mtarajiwa
warembo haooo
With Pam Lolo
Sunday, May 15, 2011
HOPE TO SEE YALL IN THE CITY OF COLUMBUS...
Come one, come All .Columbus is Ready....! The question is are yall ready????????????
MHH MHH MHH! MWAKA HUU HATUWEZI KUJENGA ..
Wednesday, May 11, 2011
MISHONO! MISHONO! MISHONO!
Kwa wale warembo wanaopenda kushona nguo na mitindo mbalimbali nimeamua kuwaletea magauni mbalimbali ambayo style zake fundi Rajabu anaweka kukopi..... Enjoy.....


This is my favourite. It could be a nice Mshono for the bride- to- be Send Off dress or something..




This is my favourite. It could be a nice Mshono for the bride- to- be Send Off dress or something..



Subscribe to:
Posts (Atom)