Sunday, May 29, 2011

JACK MJENGWA BRIDAL SHOWER...

Zilikuwa shamrashamra rasmi za kuanda festivity za Harusi ya Bibie Jacquiline Mjengwa atakayeolewa huko Tanzania mwaka huu. Ndugu, jamaa, marafiki na mashambega walijuumika wote kwa ajili ya sherehe ya Bridal Shower katika jiji la Columbus, Ohio. Sare ilikuwa ni Dira lako jepesi. Mwanamke wa Raha zakoooooo Hongera  sana Mama Brianna. Ubarikiwe na kwenye shughuli zote zinazokuja katika kukamilisha ndoa yako....
Bi Harusi Mtarajiwa na Matron wake.

Mama Jordan na Bibi Harusi mtarajiwa

Keki mnaiaonajeeee?

Mashoga hao wa bibi harusi mtarajiwa ....

wageni

waalikwa

Bi Asia ndio alikuwa Host wa Bridal Shower

Mashostisto..

Mama Jordan and Sandra

With Pam Lolo

With my shoga Kibibi

With the future Bridemaid

With Matron, Bibi harusi mtarajiwa na Bi Asia

Na mwenyewe Rehema na Zay Dullah

Nyonga hiyooooo

washangaa nyonga atiii

wageni

mashoga wa bibi harusi mtarajiwa

warembo haooo

With Pam Lolo

No comments:

Post a Comment