Sunday, May 29, 2011

JACK MJENGWA BRIDAL SHOWER...

Zilikuwa shamrashamra rasmi za kuanda festivity za Harusi ya Bibie Jacquiline Mjengwa atakayeolewa huko Tanzania mwaka huu. Ndugu, jamaa, marafiki na mashambega walijuumika wote kwa ajili ya sherehe ya Bridal Shower katika jiji la Columbus, Ohio. Sare ilikuwa ni Dira lako jepesi. Mwanamke wa Raha zakoooooo Hongera  sana Mama Brianna. Ubarikiwe na kwenye shughuli zote zinazokuja katika kukamilisha ndoa yako....
Bi Harusi Mtarajiwa na Matron wake.

Mama Jordan na Bibi Harusi mtarajiwa

Keki mnaiaonajeeee?

Mashoga hao wa bibi harusi mtarajiwa ....

wageni

waalikwa

Bi Asia ndio alikuwa Host wa Bridal Shower

Mashostisto..

Mama Jordan and Sandra

With Pam Lolo

With my shoga Kibibi

With the future Bridemaid

With Matron, Bibi harusi mtarajiwa na Bi Asia

Na mwenyewe Rehema na Zay Dullah

Nyonga hiyooooo

washangaa nyonga atiii

wageni

mashoga wa bibi harusi mtarajiwa

warembo haooo

With Pam Lolo

Sunday, May 15, 2011

HOPE TO SEE YALL IN THE CITY OF COLUMBUS...

Come one, come All .Columbus is Ready....! The question is are yall ready????????????


                                                      See yall this Memorial weekend!!

MHH MHH MHH! MWAKA HUU HATUWEZI KUJENGA ..

Yaani kama mambo yenyewe ndio haya, watu watafilisika... haya ladies this is the classic of CL....and knock off CL...Lol





 
 
 
 

Wednesday, May 11, 2011

MISHONO! MISHONO! MISHONO!

Kwa wale warembo wanaopenda kushona nguo na mitindo mbalimbali nimeamua kuwaletea  magauni mbalimbali ambayo style zake fundi Rajabu anaweka kukopi..... Enjoy.....

BEYONCÉ photo | Beyonce Knowles

EMMA STONE photo | Emma Stone

This is my favourite. It could be a nice Mshono for the bride- to- be Send Off dress or something..

GISELE BÜNDCHEN & TOM BRADY photo | Gisele Bundchen, Tom Brady

JENNIFER LOPEZ photo | Jennifer Lopez

SARAH JESSICA PARKER photo | Sarah Jessica Parker

Thursday, May 5, 2011